Tuesday, June 5, 2012

Taswira za Dar Es Salaam ya 2012 tokea Angani

 Ni Taswira za Mchana wa tarehe 3 Juni 2012 zikionyesha maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam tokea Angani. Ndeg tuliyokuwamo ilielekezwa kutua upande ambao ulitupisha juu ya jiji na kunipa fursa ya kung'amua taswire hizi kadhaa. Kwa mnaolijua jiji hili mtakuwa mmeanza kubaini baadhi ya maeneo na majengo yanayoonekana kwenye hizi taswira.Bustani ya Mnazi Mmoja, barabara za Bibi Titi na Lumumba zikionekana bila kuisahau Barabara ya Morogoro 'rodi' Neshno yetu ikionekana kwa mbali.

Mitaa ya Buguruni na Stendi ya treni ya Tazara

2 comments: