Tuesday, June 12, 2012

Sio drip ya mgonjwa

Hiyo ni ndoo ya maji ambayo huning'inizwa juu ya huo mlingoti ili maji yaweza kutoka kwa kasi kwenye bomba la mvua la kuogea. Kimsingi hii ndio namna ambayo mgeni anayelala kwenya mahema haya porini anapewa maji ya kuoga. Mfumo huu hutumika zaidi kwenye zile kambi za muda ambazo wageni wanakuwa wanahama na mahema yao wanapokuwa wanasafiri.

No comments:

Post a Comment