Monday, June 18, 2012

Planhotel Group yazidi kuwekeza Zanzibar

Hizi ni Hoteli tatu tofauti ambazo zinaendeshwa na kundi la makampuni ya Plan Hotel. Kampuni hii ina jumla ya hoteli tano katika kisiwa cha Unguja. Juu ni lango la kuingilia hoteli ya Mapenzi beach ambayo ipo maeneo ya pwani mchangani, kaskazini mashariki mwa kisiwa cha unguja.

Hapa ni kwenye lango la kuingilia The Dream of Zanzibar ambayo nayo ipo chini ya kampuni hii.

Hili ni lango la Neptune Pwani Hotel ambayo ipo eneo la Kiwengwa huko Unguja.
Nyingine ni La Gemma Del Est pamoja na Diamonds Stars of the East.
Pata habari zaidi kwa - http://www.planhotel.com

No comments:

Post a Comment