Tuesday, June 12, 2012

Mambo ya Ruaha National Park

Sharubu dume huyu alikutwa akiendelea kupata mlo toka kwenye windo la Nyati huko Ruaha NP. shukran ya picha kwa mdau Rajab Idd wa Wildness Safaris

No comments:

Post a Comment