Friday, June 8, 2012

Karibu Fair grounds from the Air

 Kampuni inayotoa huduma za helikopta hapa nchini ya Whirlwind aviation inayoshiriki maonesho ya karibu fair ilifanya safari ya dakika kumi kuuzunguka uwanja wa maonesho ambapo mimi nilikuwa ni mmoja wa abiria wa safari hii.No comments:

Post a Comment