Wednesday, June 6, 2012

Bara na Visiwani katika taswira moja

Picha inaonyesha ni jinsi gani Tanzania Bara na Tanzania Visiwani (Zanzibar) zilivyo karibu - tokea hewani. Chini ni sehemu ya Kisiwa cha Unguja(Zanzibar) na juu ni maeneo ya Bagamoyo upande wa Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment