Tuesday, June 5, 2012

Ndege huyu anaitwaje kwa Kiswahili?

RA Safaris

Wenye lugha yao humuita Grey Crowned Crane. Sisi Waswahili tunamuitaje?
Tushirikishane kupata jibu kwa kutumia sehemu ya kutoa maoni (comments) kwenye mtundiko huu.

Jibu:
Mliobashiri kuwa anaitwa Korongo mmepatia. Ndio jina lake kwa kiswahili
Ahsanteni kwa Kushiriki. Shukran pia kwa mdau aliyetoa hadi jina la ndege huyu kwa lugha ya kihaya!

KK

5 comments:

 1. Huyu nadhani, atakuwa Korongo.

  ReplyDelete
 2. Jamii ya Cranes ni Korongo kwa Kiswahili, sasa huyu sijui ataitwa Korongo Kibwenzi au Korongo Kishungi!

  ReplyDelete
 3. entuwa nyamshandaro kwa KIHAYA(KISWAHILI KORONGO)

  ReplyDelete
 4. Ni hivi jina lake ni KORONGO.....!!!!!!!!???

  ReplyDelete
 5. Ni Korongo ndio jina lake basi....!!!!????

  ReplyDelete