Tuesday, May 29, 2012

Twiga Sambamba na mifugo ya Wamasai

Ukiangalia kwa mbali (background) kwenye picha juu utaona Mifugo (ng'ombe na Kondoo) ikiendelea na mishemishe za kusaka malisho wakati hapa mbele kuna Twiga aka Warefu. Ni ule mchanganyiko ambao unaruhusu shughuli za wanadamu kuendelea kama kawaida ndani ya eneo la Uhifadhi ndani ya eneo tengwa la Ngorongoro. Hapa ni ukiwa njiani kulekea hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Taswira kwa hisani ya Mdau Zeph wa RA Safaris

No comments:

Post a Comment