Friday, May 4, 2012

Mlima Meru - Arusha

 Ni Picha zinazouonyesha Mlima Meru tokea Viwanja vya Magereza vilivyopo nje kidogo ya jiji la Arusha, Karibu kabisa na uwanja wa ndege wa Arusha. Hizi taswira zilipigwa mwaka jana mwesi Juni mwanzoni wakati wa Maonesha ya utalii ya Karibu - Karibu Fai 2011.

Wengi wetu ambao tunapenda na kuvutiwa na vitu asilia kama hivi ilikuwa ni ngumu kujizuia kuupiga picha mlima huu hususan pale ifikapo mida ya jioni ambapo jua linakuwa linauangaza vyema mlima huuMwaka huu KAribu fair ipo kama kawaida na kama una mpango wa kuhudhuria au akushiriki (binafsi au kampuni) unaweza pata taarifa zaidi kupitia tovuti yao - www.karibufair.com

1 comment: