Wednesday, May 30, 2012

Milima na kona za Iyovi

Mdau Rajab Idd wa Wildness Safaris ameturushia picha hii sambamba na nyinginezo alizopiga hivi karibuni akiwa safarini kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, Mkoani Iringa. Mto unaonekana kushoto bondeni ni Mto Ruaha Mkuu.

No comments:

Post a Comment