Wednesday, May 30, 2012

Ruaha National Park

Taswira mwanana toka Ruaha National park ambazo mdau Rajab Idd toka Wildness Safaris ametulea tujionee mandhari ya Huko. Picha juu ni kundi la Tembo aka Masikio likiendelea na shughuli za kujitafutia chochote ndani ya hifadhi ya taifa ya Ruaha huko Iringa.

Twiga aka Mrefu akijiaanda kuvuka moja ya barabara zilizopo ndani ya hifadhi ya taifa ya Ruaha.

No comments:

Post a Comment