Friday, January 27, 2012

Taswira toka Ruaha National Park

Ilikuwa ni Mwezi Desemba mwaka jana ambapo Mdau mwingine mkongwe wa blog hii -Tom - alipotia timu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha mkoani Iringa.

Mto Ruaha


Moja ya vyumba vya wageni kwenye Hostel (wenyewe wanaziita Bandas) ambazo inamilikiwa na kusimamiwa na TANAPA. zipo ndani ya hifadhi. Kwenye Kilima zikiuangalia Mto Ruaha kwa chati.


Tembo aka Masikio (ile lugha ya porini)


Ni nadra sana kuwaona hawa jamaa. Mara nyingi wao wanakuwa wanakimbia ndio maana wazee wa pori wakaamua kuwaita Mchaka-mchaka. Mdau Tom alibahatika kuwafuma hawa wakiwa very business katikati ya barabara.

No comments:

Post a Comment