Thursday, January 26, 2012

Mlima Kilimanjaro

Ni Mawio yakishuhudiwa tokea moja ya vituo wakati Mdau John Kessy alipokuwa akipanda Mlima Meru. Mlima unaonekana kwa mbali ni Mlima Kilimanjaro na vilele vyake viwili. Hii ilikuwa ni alfajiri ya saa kumi hivi ambapo ndio walikuwa wanajiandaa kuendelea na safari kulekea kileleni.

Mlima Kilimanjaro ukionekana kwa mbali wakati jua likichomoza.
Picha hii imepigwa tokea mlima Meru

1 comment: