Monday, January 30, 2012

Ikoma Tented Camp

Moja ya Tents za kufikia wageni. Campsite hii inamilikiwa na kampuni ya Moivaro ambayo inamiliki campsite kadha wa kadha huko Kaskazini na hotel nyingine kwenye Fukwe za Zanzibar

Kwa wale ambao watapenda kulala kwenye mahema madogo eneo lipo kwa ajili yao

Nyumbu wakipiga misele karibu na camp site.
(picha zote toka Ikoma Tented Camp)

No comments:

Post a Comment