Tuesday, January 3, 2012

Mdau aliukwea Mlima Kilimanjaro Desemba mwaka jana

Hili ni lango kuu la Londorosi, lango ambalo hutumiwa na wapandaji wa route ya Lemosho.

Dondoo muhimu

Mwanzo wa safari hapa. Kila mtu akihakiki mambo yake kama yapo sawa kabla ya kuanza kuukwea mlima Mwezi Desemba mwaka Jana. Picha zinazoonekana ktk mtundiko huu zimetufikia kwa hisani ya Mdau wa Siku nyingi wa Tembea Tanzania, John Kessy (wa kwanza kulia - mikono mfukoni)

Bonde la ShiraNi Njia ya Marangu pekee ndio ina mabanda kwa ajili ya kupumzikia wapandaji wa mlima Kilimanjaro. Njia nyingine zote mgeni hulazimika kubeba hema lake ambalo atalitumia kwa kulala awapo safarini.Staftahi ndani ya Hema

Hii ndio Lava tower yenyewe

Mlima Meru ukionekana kwa Mbali
(shukran ya picha kwa Mdau John Kessy)

No comments:

Post a Comment