Tuesday, December 13, 2011

Walking Safari, Selous Game Reserve

Tulikuwa tukitembea eneo lenye vichaka na mara baada ya kumaliza vichaka tuliibuka mahali ambako palikuwa na uwazi na kumkuta huyu mrefu akitushangaa. Yawezekana alituona tokea mbali sababu ya urefu wake na akaamua kutusubiri.

Ni nadra sana kuweza kumsogelea twiga mpaka usawa huu. Mara nyingi unapomkaribia hutimua mbio na kukuacha solemba. Huyu alituvumilia kwa muda kidogo na baadae akaanza kulala mbele

Akazidi kuelekea mbali nasi

No comments:

Post a Comment