Lake Chala Safari Camp ni campsite iliyopo karibu kabisa na Ziwa Chala huko mkoani Kilimanjaro. Ziwa Chala lipo mpakani kabisa mwa Tanzania na Kenya. Ni Ziwa ambalo lipo ndani ya caldera hali ambayo inapelekea kingo zake kuwa kwenye mwinuko mkali. Picha juu ni Lake Chala Safari Camp inavyoonekana tokea moja ya vilima vilivyopo karibu nayo. Ni Sehemu mwanana kwa yule ambae anataka utulivu. Eneo lilipo ziwa Chala ni njia ya kuelekea Holili. Tembelea Tovuti yao ili kupata maelekezo ya jinsi kufika lilipo Ziwa Chala na hata camp site
[Picha kwa hisani ya Carolyn Waltenberg wa Lake Chala Safari Camp]
No comments:
Post a Comment