
Sehemu ya Ziwa Chala inavyoonekana tokea moja ya vilima vinavyolizunguka.

Ziwa hili lipo eneo karibu na Mlima Kilimanjaro hivyo Vilele vyote viwili vikuu vya mlima Kilimanjaro huonekana vyema toka Ziwa Chala na hata tokea
Lake Chala Safari Camp
moja ya mito inayokatisha eneo karibu na Ziwa Chala.

Sehemu ya Ziwa chala ikionekana tokea juu ya moja ya kingo za ziwa hili

Eneo karibu na Ziwa Chala ni eneo murua kwa wale wanaopenda kuangalia ndege - wakazi na wale wanaohama.

Sehemu kubwa ya eneo la pembezoni mwa ziwa hili ni msitu na mwinuko mkali.

Ni eneo ambalo lipo porini. Jama hawa nao wapo kwa sana
[Picha kwa hisani ya Carolyn Waltenberg wa
Lake Chala Safari Camp]
No comments:
Post a Comment