Sunday, October 30, 2011

Mtemere...

Mageti ya kuingilia kwenye Hifadhi au mapori ya akiba huwa na taarifa nyingi za kukuwezesha kuelewa historia na habari mbaliambli za eneo husika. Bango hili lipo mbele ya ofisi za wahifadhi ktk geti la Mtemere, Selous GR

No comments:

Post a Comment