Mapokezi ambapo wageni hukamilisha taratibu za kuingia au kutoka ktk pori la akiba la Selous.
Asubuhi hii kulikuwa na magari kadhaa yakikamilisha taratibu za kuingia Selous. Msimu ukipamba moto hapa huwa kunakuwa na nyomi la kutosha wakati wa kuingia na hata mida ya jioni ya kutoka. Japo foleni ya hapa huwa inaenda fasta!
No comments:
Post a Comment