Video hii niliichukua Asubuhi wakati tukikamilisha taratibu za kuingia ndani ya Pori la Akiba la Selous ktk geti la Mtemere. Banda kubwa ndio ilipo Ofisi ya wahifadhi wanaohusika na kutoa vibali vya kuingilia kwenye pori. Msonge utakauona upande wa pili wa barabara ndio waiting lounge ya abiria wa Ndege ktk uwanja mdogo wa Mtemere.
No comments:
Post a Comment