Tuesday, October 25, 2011

Kutoka dar hadi Kibiti

Ni safari ya kilometa 150 kwenye barabara ya kiwango cha lami. Hapa ilikuwa ni maeneo ya Mkuranga.

Hapa ni Kimanzichana

Kibiti "mjini"

Kibiti ndio kuna njia inayoelekea Utete, Mloka na maeneo mengineyo kama ubao wa TANROADS unavyoonyesha.

Barabara ya Lami iliyonyooka ndio ya kuelekea Lindi na maeneo mengine ya Kusini mwa Tanzania. Ndio barabara itakayokufikisha Mtwara pia. Kulia ndio njia panda kuelekea Utete, Mloka na mpaka Selous Game reserve.

No comments:

Post a Comment