Muonekana na mandhari ya hoteli ya Mikumi wildlife lodge iliyopo hifadhi ya taifa ya Mikumi. Hoteli hii ipo karibu kabisa na geti kuu la kuingilia ndani ya hifadhi eneo lijulikanalo kama Kikoboga. Mtundiko huu ni mkusanyiko wa picha zilizopigwa na Mdau Da Imma wa Antelope Safaris walipotembelea hotel hii hivi Karibuni
Moja ya vyumba vya kulala wageni vilivyojengwa kwa mandhari ya kiafrika kabisa kinavyoonekana kwa nje
Hapa ni view ya hifadhi tokea mgahawa. Wanyama wa porini husogea karibu kabisa na mgahawa na hata vyumbani. (picha na Da Imma wa Antelope Safaris)
No comments:
Post a Comment