Ni Eneo lililopo ndani ya Ngorongoro crater ambako kuna ka smitu kadogo. Msitu huu unaundwa zaidi na miti ya Migunga au Acacia. Lerai ni neno la kimasai lenye kumaanisha mti wa Mgunga/Acacia. Ni Moja ya maeneo ambayo mgeni huwa na uhakika wa kuona masikio (Tembo).
No comments:
Post a Comment