Friday, June 3, 2011

Vifaa vya kuwasaidia wanaozidiwa Mlimani - Ahsante ToursMdau Geofrey Mgana toka Ahsante Tours Tanzania Ltd akionyesha vifaa mbalimbali ambavyo Ahsante tours inavyo kwa ajili ya kuwasaidia wapanda mlima ambao hukumbana na mauzauza ya Mlima. Kampuni ya Ahsante tours inashiriki Karibu Fair 2011

1 comment: