Thursday, June 2, 2011

Mlima Kilimanjaro Umeachia

Nikiwa njiani kuja Arusha hii leo nilibahatika kuona Kilele cha Mlima Kilimanjaro nikikaribia kufika mji wa Moshi.


2 comments:

  1. Oh una bahati wewe,mlima una maringo sana unaweza hata kusahau kama kuna mlima eneo hilo

    ReplyDelete