Friday, June 3, 2011

Uwanja wa Ndege wa Arusha kufanyiwa maboreshoMhe Lazaro Nyalango amesema Serikali ipo mbioni kuuboresha uwanja wa ndege wa Arusha ili uweze kuwa kiunganishi cha Mji wa Arusha na mikoa mingine kwa ndege za abiria. Mhe Nyalandu ameyasema hayo wakati akifungua rasmi maonesho ya Karibu fair 2011 hii leo. Mhe Nyalandu alizungumza hayo kwa niaba ya Waziri mkuu alipokuwa ndani ya banda la shirika la ndege la Precision Air. Msikilize bila chenga kwenye hiyo video...

No comments:

Post a Comment