Friday, June 3, 2011

Sam Diah wa Tanzania Travel Company



Mkurugenzi wa Tanzania Travel Company Bw. Sam Diah akizungumza na naibu Waziri wa Viwanda na biashara Mhe Lazaro Nyalandu alipotembelea Banda la Tanzania Travel Company wakati akifungua maonesho ya Karibu fair hii leo mjini Arusha

No comments:

Post a Comment