Sunday, June 26, 2011

Taswira maridhawa toka Ngoitoktok - Ngorongoro crater

Hii ni picnik site ambapo wengi huja kwa ajili ya kula chakula walichobeba. ktk picnik sites ndipo ambapo wageni huruhusiwa kushuka kwenye magari yao na kukaa nje kwa lengo la kula au kujinyoosha. Nje ya hapa (au sehemu isiyo picnik site au geti) mgeni au hata dereva wake haruhusiwi kushuka na kuwa nje ya gari lake.

Viboko wapo kwenye bwawa linalozunguka hapa mahali

Mandhari ya ngoitoktok toka kona nyingine, pembezoni mwa bwawa la viboko.




(Picha | Mdau GBM)

No comments:

Post a Comment