Thursday, June 23, 2011

Tanzania Airways inakuja......

KAMPUNI ya Glasgow International GT LLC ya Dubai imekubali kuwekeza
nchini kwa kuanzisha shirika jipya la ndege linalotarajiwa kuanza
kutoa huduma zake katika kipindi cha miezi sita ijayo kuanzia sasa.

... Bofya hapa...

No comments:

Post a Comment