Saturday, June 4, 2011

Mullers Mountain Lodge - Lushoto

Hii ni stand ya Mullers Mountain Lodge ktk maonesho ya Karibu Fair 2011 Arusha. Mullers Mountain Lodge ipo Lushoto mkoani Tanga.

Karl Muller (shoto) pamoja na Christine 'Tina' Muller wa Mullers Mountain Lodge Lushoto wakiwa kwenye banda lao la maonesho ktk Karibu fair, Arusha

No comments:

Post a Comment