Thursday, June 2, 2011

All is set for 2011 Karibu travel & tourism fair - Arusha

Kesho Asubuhi Waziri mkuu Mhe Mizengo Pinda anatarajiwa kufungua rasmi Maonesho ya utalii ya Karibu fair yanayofanyika katika viwanja vya magereza hapa mjini Arusha. Makampuni karibu 270 ya ndani na nje yanashiriki maonesho ya mwaka huu na tayari mengi yapo katika hatua za mwisho za kuandaa sehemu za kunadi shughuli zao kwa wageni. picha unazoziona ktk mtundiko huu ni hatua mbalimbali za maandalizi yanayoendelea hapa ktk viwanja vya Magereza,karibu kabisa na uwanja wa ndege wa Arusha.

Makampuni ya utalii pamoja na makumpuni yanayouza bidhaa zinazotumika ktk sekta ya utalii yanashiriki maonesho ya mwaka huu. picha juu ni wakala wa magari ya ford wakiandaa sehemuyao ndani ya viwanja vya magereza.nje kidogo ya jiji la Arusha

mlima Meru ukionekana kwa mbali tokea uwanja wa maonesho

(Picha : KK - Arusha)

No comments:

Post a Comment