Friday, June 17, 2011

Dogo alipo-sebeneka na sebene la watoto wa Tembo



Watoto wa tembo ni bendi yenye makazi yake mjini Arusha chini ya uongozi wake Mwanamuziki Ndanda Kossovo "kichaa". Bendi hii ilikuwa ikitumbuiza ktk maonesho ya Karibu Fair hivi karibuni mjini Arusha ambapo dogo umuonae ktk Video clip hii alishindwa kujizuia na kuingia jukwaani kuse-beneka pamoja na watoto wa Tembo

No comments:

Post a Comment