Friday, June 17, 2011

Mandhari ya Geti la Lodware - Ngorongoro crater

Lango ulionalo mbele ndio langu kuu la kuingilia eneo la Ngorongoro crater. Ndio geti la Lodware.

Picha hii imepigwa kwa nje - eneo ambalo mgeni hufikia na kukamilisha taratibu za kupata kibali cha kuingia eneo la hifadhi.

Chumba maalum ambako kuna taarifa mbalimbali kuhusu eneo la hifadhi la Ngorongoro pamoja na Ngorongoro crater na crater nyinginezo

Picha hii imepigwa tokea ndani ya eneo la hifadhi baada ya kupita getini.

Hili ni geti dogo linaloashiria kuingia ndani ya eneo la geti kuu la Lodware
(Picha | Mdau GBM)

No comments:

Post a Comment