Friday, June 3, 2011

2011 Karibu fair is on...

Maonesho yamefunguliwa rasmi leo (03-06-2011) na yataendelea mpaka Jumapili, 05-06-2011 katika viwanja vya magereza Arusha karibu kabisa na Arusha airport.

Parking za kumwaga

Kipindi chote cha Karibu fair 03rd -05th June 2011 wageni wanaweza kupata fursa ya kupata ride ya Helcopter kwa gharama ya $ 75. Safari inaanzia uwanja wa ndege wa Arusha na kuzungushwa juu ya uwanja wa maonyesho na kurudishwa uwanja wa ndege wa Arusha

No comments:

Post a Comment