Monday, April 4, 2011

Unajichagulia mbuzi zizini kwa bei powa...

Wadau walioenda camping pembezoni mwa ziwa Natron hawakuwa na shida ya kubeba chakula au kutafuta chakula wakiwa camping. Jamii inayoishi maeneo hayo ni ya wafugaji na mbuzi wanauzwa kwa bei poa. Ukionyesha nia ya kununua mbuzi unafunguliwa mlango wa zizi ujichagulie anaekuvutia. bei ni 'ya shambani' maelewano

No comments:

Post a Comment