Monday, April 4, 2011

Daraja la Kwanza

Mita chache baada ya kuanza rasmi safari ya kupanda mlima kupitia route ya Marangu unakutana na daraja hili. Daraja hili ni la mto unaojulikana kama mto Wona (kwa mujibu wa guide). Mto huu ni sawa na ulivyo mto Ruaha kwa wale wanaosafiri kwenda Iringa, unauvuka mara kadhaa kuelekea juu.

Upande mmoja (kulia kama unapanda)

Upande mwingine wa daraja (kushoto kama unapanda)

No comments:

Post a Comment