Monday, April 18, 2011

Ukianza kukaribia kufika Mandara Hut...


Mandhari ilivyo pale ambapo unakuwa unakaribia kufika Mandara Hut.

Moja ya vibanda vilivyopo Mandara hut vikikukaribisha. Hili banda ni jipya na linatumika kama ofisi ya kuandikishia na kusajili wageni wanaofika Mandara hut. Siku hii kulikuwa na wanafunzi toka moja ya shule ya mambo ya Utalii ya Arusha waliokuwa field. Nao walifanya day trip kama sisi japo wao walitutangulia kufika na kugeuza.

No comments:

Post a Comment