Monday, April 18, 2011

Mto Wona - Marangu RouteSikiliza sauti ya maji yakitiririka ktk huu mto..
Kwa anayepanda mlima Kilimanjaro kwa route ya Marangu atakutana na mto huu maka kadhaa ktk sehemu ya Marangu-Mandara. hauna tofauti na mto Ruaha kwa wale wanaokwenda Mikoa ya kusini ambao huuvuka mto Ruaha karibu mara 9 hivi

Bofya hapa kwa video kadhaa ktk youtube chanel ya TembeaTz

No comments:

Post a Comment