Tuesday, April 5, 2011

Ni Njia za doria

Njia za magari kama unayoiona hapa ni kwa ajili ya doria au dharura ya namna yoyote. Kimsingi magari yanayoruhusiwa kutembea ndani ya hifadhi ya Kilimanjaro ni magari ya wahifadhi.

No comments:

Post a Comment