Monday, April 18, 2011

Ngorongoro Crater...

Pundamilia wakijivinjari ndani ya Ngorongoro crater.

Hili pozi lina maana yake.. hapo Pundamilia hao wanakuwa wanasaidia kuangalia eneo walipo ili kujihakikishia usalama wao. Endapo mmoja ataona jambo ambalo lipo sivyo ndivyo, atatoa mlio ambao utaashiria hatari na kisha kundi zima litatimka mbali na eneo lenye dalili za hatari.

Shibe au ndio mzazi mtarajiwa?...
(picha | Mdau Bonny, Karibu Fair Arusha)

No comments:

Post a Comment