Sunday, April 17, 2011

Mdau aifagilia Afriroots

Afriroots wako viziri sana kweli wanapenda kuwa karibu namazingira nakuyatunza nilishawai kusafairi nawo uko Selous Natofauti nakampuni zingine wajali sana wa Tanzania na WaAfrika ,local tourism , naku support projects mbali mbali kati ya jamii nimewakubali ni wa Afrika wanamaendeleo nawana weza sana zaidi ya kampuni zainje

bofya hapa
kuona mtundiko wa Tembea Tanzania ambako mdau alitoa dondoo hizi kuhusu Afriroots.

No comments:

Post a Comment