Wednesday, February 17, 2010

Tented Camping, Beho beho - Selous

Wiki iliyopita wadau kadhaa chini ya usimamizi wa timu mahiri ya Afri roots walitia maguu ndani ya Selous game reserve kwa mtindo tofauti kidogo. Licha ya kuwa na magari ya kutosha, wadau hawa walitumia muda wao mwingi kutembea kwa miguu - game walking safari - ndani ya mbuga. mtindo ambao uliwaweka karibu sana na mazingira asili.

Ili kuhakikisha kuwa wanakuwa karibu na nature kwa namna zote, wadau hawa waliamua kufanya tented camping ndani ya Selous game reserve ktk moja ya camping sites iliyopo eneo la Beho beho. picha juu ni sehemu ya mahema ambayo wadau hawa waliyafanya makazi yao kwa kipindi cha takriban siku 3 wakiwa ndani ya Selous game reserve.

1 comment:

  1. Afriroots wako viziri sana kweli wanapenda kuwa karibu namazingira nakuyatunza nilishawai kusafairi nawo uko Selous Natofauti nakampuni zingine wajali sana wa Tanzania na WaAfrika ,local tourism , naku support projects mbali mbali kati ya jamii nimewakubali ni wa Afrika wanamaendeleo nawana weza sana zaidi ya kampuni zainje

    ReplyDelete