Tuesday, March 29, 2011

wanavutia ukiwaona kwa mbali wakiwa kwenye migration

Ukiwa karibu nao wanatisha japo sio wanyama hatari. Angalia hayo manyoya yao mbele ya uso, macho yanakuwa hayaonekani. Ukiwaona kwenye migration yao au kwa mbali wanakuwa na hamasa ya kipekee. (picha | mdau Bony - Karibu Fair)

No comments:

Post a Comment