Tuesday, March 29, 2011

Marangu Mtoni

Mandhari ya eneo la Marangu mtoni ukiwa unatokea Himo. Hapo kuna njia moja iendayo Marangu gate na nyingine inayoenda Rombo hadi mpaka wa Tarakea.

Ukishika ile inayoelekea Marangu gate. Vikwakunga anga vipo napo hukodaraja ulionalo ndio la mto wenyewe. Njia ya kulia ndio inayoenda Marangu gate (KINAPA) - huko inapoelekea hiyo pickup.

No comments:

Post a Comment