Thursday, March 24, 2011

Uwanja wa Tennis ndani ya hifadhi...

mambo ya Singita Sabora Tented Camp iliyopo ndani ya pori tengwa la Grumeti (Grumeti Reserve). hili ni pori tengwa ambalo ni sehemu ya mfumo wa ekolojia wa Serengeti.
Kwa mdau unaependa tennis, utaweza kuufuata mpira uliopigwa na mpinzani wako na kwenda mbali na uwanja?... Kama unavyoona uwanja hauna wavu wa kuzuia mipira kwenda mbali. Hii nayo ni sehemu ya raha ya kuwa porini. Tembelea singita.com kujua zaidi

No comments:

Post a Comment