Thursday, March 24, 2011

Ngorongoro crater wakati wa kiangazi

Sehemu ya Ngorongoro crater inavyoonekana toka ktk gate la kuingilia crater. taswira hii ilipigwa kipindi cha kiangazi. Unaona jinsi rangi inavyobadilika, toka kijani kuwa kahawia. Unapoona taswira kama hizi ndio pale swala zima la muda muafaka wa kutembelea hifadhi husika linapokuja. Kila hifadhi ina muda wake mzuri wa kuzitembelea na kuona mazuri yaliyo hifadhi ndani ya hifadhi husika. Tembealea tovuti ya NCAA kujua mengi mengineyo

No comments:

Post a Comment