Tuesday, March 29, 2011

Toka Himo kulekea Marangu Mtoni

Baadhi ya taswira zitakazokuonyesha mandhari ya barabara ya kutokea Himo mjini Marangu mtoni. Hapo ni baada ya kukata kushoto na kuanza safari kuelekea Marangu mtoni. Hii ilikuwa ni safari ya kuelekea geti la marangu la kupandia mlima Kilimanjaro

Mwenyeji wangu alinieleza ya kwamba kwa siku ambazo hakuna mawingu mwengi, Mlima kilimanjaro unakuwa unaonekana vizuri ukiwa mitaa hii. Siku hii kulikuwa na mawingu mengi na mvua ilinyesha.
Ni mkeka mwanzo mwishoUchagani bila migomba haiwezekani... sehemu nyingi tulikutana na vihampa vyenye mazao ya chakula na biashara. Migomba ilikuwepo nayo 'kufanya faeturing pia'

No comments:

Post a Comment