Sunday, March 6, 2011

Loliondo


View Larger Map

Hicho kitufe kilipo ndipo lilipo Eneo la Loliondo. Ni mbali na mji wa Arusha na barabara ya kwenda huko ni mbaya. Kipindi cha mvua ndio inakuwa haipitiki kabisa. lakini waswahili husema, penye nia pana njia..

2 comments:

  1. Mgosi tafuta i-reporters watuletee picha za mnato bana...

    ReplyDelete
  2. kwa babu mtoa dawa ya magonjwa sugu wapi?

    ReplyDelete