Thursday, March 3, 2011

Ndutu Safari Lodge - Serengeti

Ndutu Safari Lodge is situated in the South-eastern part of the Serengeti ecosystem. Shaded by majestic acacia trees, each of the thirty four cottages, which are built of local materials, has a private verandah facing Lake Ndutu. The Lodge is surrounded by indigenous trees and shrubs which encourage a host of birds and mammals to come right to your front door. Tucked well away from the busy tourist circuit, Ndutu offers peace and tranquillity far from the madding crowd.

Vyumba vya wageni kwa nje

Vyumba vya wageni kwa ndani. Hiki ni special room. Wasiliana nao kujua how special the room is...

Karibu na ilipo lodge kuna sehemu wanyama wanakuja kunywa maji

Usiku wageni mnapata fursa ya kukutana pembeni ya moto na kuzungumza mawili matatu kabla kila mmoja hajachukua mwelekeo na kwenda chumbani kwake. Elewa jambo moja, hoteli hii ipo ndani kabisa ya hifadhi ya taifa ya Serengeti.(picha | www.ndutu.com)
www.ndutu.com | info@ndutu.com

1 comment:

  1. Awesome lodge... Truly natural and untamed

    ReplyDelete